yaani ni rahisi sana. unajua Kiongozi wa Hamas haishi Gaza, anaishi Qatar ana ofisi kabisa, na anaoperate na kutoa maelekezo yote akiwa Doha Qatar, hata mateka hao walioachiwa yeye lazima ndio alitoa maelekezo, na negotiations zote za mateka kuachiwa hata sasahivi zinaendelea na mediator ambaye ni Qatar. Balozi wa palestina hawezi kusema Hamas hawapatikani kwenye simu kwasababu ukipiga simu Doha hata sasahivi zinapatikana, au Balozi wetu aliyepo Qatar awashe tu gari aende kwa kiongozi wa hamas, amwambie chondechonde hao madogo hawahusiki na mgogoro, na sio wayahudi, ni masai na mchaga. hivi hawaoni hata aibu Africa miaka yote imekuwa supporter wa Palestine na bado wameteka watoto wao?