Hii program huwa ni mwaka mmoja walirudi mwaka jana.afadhali mkuu hawajakutana na hili janga. ungekuta saivi presha imepanda. tupige kelele itawapa faraja ya wazazi wa hawa watoto na itasaidia kuachiliwa.
inasikitisha sana kwa kwelii.
swali ni kwamba, eneo lile linakaliwa na watu weupe, hao vijana ni pure african, wanajulikana kabisa kwamba sio waisrael, kwanini waliwakamata? hao nao wamewakosea nini au walikuwa wanakamata kila mtu tu, si wawaachie?Kwa jinsi Israel inavyopiga mabomu kila sehemu,huenda wameshauliwa na mabomu ya Israel
Hatari sanaUnauza kitimoto, hela umeshika na damu ya kitimoto. Na waislamu wanajua unauza kitimoto.
Ukienda dukani kwake, anakuuzia bidhaa unampa hela ya kitimoto anapokea.
Sasa hivi wanatumia mtandao wa kafiri kutoa maoni yao.
KawaulizeKwani waisrael wameua wangapi kama maelf na maelf ya watu
Bonge moja la idea aise umetoa nina imani mama atalifanyia kazini rahisi sana, Serikali imwite tu balozi wa palestina imwambie awapigie simu hamas waachie watoto wetu basi. balozi wa palestina yupo hapahapa na alishaomba watanzania tuilaani israel.
Awa wadau wangu kabisa nmesoma nao SUA dah[emoji24]Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix
wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985
Kwa serikali hii ambayo wateule wa rais wapo busy kupokea maagizo kutoka kwa katibu mwenezi wa chama tusitegemee jitihada zozote.na hapohapo mitandao ya Israel inasema vijana wawili wa kitanzania, Joshua Loutu MOllel & Clemence Felix Mtenga wamekamatwa na hamas, walienda kwenye intenship ya kilimo na hatujasikia lolote toka serikalini kama wananegotiate au wanawasaidiaje au wameachwa hukohuko wafe.
Unaongea kirahisi kwa sababu sio ndugu zako kiimaniKuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.
Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
umetoa mada nzuri lakini namna ulivyofisha ujumbe inaonekana umekunywa yale mazaga zaga ukiwa na njaa kali hujalaJoshua Loitu Mollel and Clemence Felix
wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985
Wapelestina ni sawa na boko haramu, Al shabab au Islamic State.Kwani waisrael wameua wangapi kama maelf na maelf ya watu
Nimekuja hapa na majonzi ila nimecheka sana. Sijui watu mnawazaga nini!kuna tetesi kuwa hao vjana wanaingiliwa kinyume na hao mapalestina mazeee...hali sio poa kwa hao vijanaa duaa
Ila wewe bibi una stori za uongo sanaKuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.
Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Kwamba Tz hatujawahi kuwa na hao experts?Dah vijana wadogo sana walienda kusoma na wangekuja kuwa experts wazuri na kuinua uchumi wa nchi yetu pitia kilimo. Mungu wasaidie vijana wetu warudi salama.
yaani ni rahisi sana. unajua Kiongozi wa Hamas haishi Gaza, anaishi Qatar ana ofisi kabisa, na anaoperate na kutoa maelekezo yote akiwa Doha Qatar, hata mateka hao walioachiwa yeye lazima ndio alitoa maelekezo, na negotiations zote za mateka kuachiwa hata sasahivi zinaendelea na mediator ambaye ni Qatar. Balozi wa palestina hawezi kusema Hamas hawapatikani kwenye simu kwasababu ukipiga simu Doha hata sasahivi zinapatikana, au Balozi wetu aliyepo Qatar awashe tu gari aende kwa kiongozi wa hamas, amwambie chondechonde hao madogo hawahusiki na mgogoro, na sio wayahudi, ni masai na mchaga. hivi hawaoni hata aibu Africa miaka yote imekuwa supporter wa Palestine na bado wameteka watoto wao?Bonge moja la idea aise umetoa nina imani mama atalifanyia kazi
Humu kuna vichwa aise JF
1. Mbona ulishangilia kipindi ndugu zako wameenda kuua na kuchukua mateka? Tena ulitoa uzi kbsKuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.
Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Kwahiyo unapingana na Malaria 2?Tatizo unaandika kama vile ni VITA ya Waislamu na Wakristo wakati Israel hakuna Wakristo.
Kwa taarifa tu; Waisrael ambao ni Waislam ni 20% na waliobaki ni Jewish
Yaani kiongozi yuko Qatar?balozi wa palestina anasapoti hamas, sisi hatutaki kuingilia kati ugomvi wao, tunachotaka, kama vile ambayo yeye na mabalozi wenzake wa palestina wengiii wamekuwa wakihitaji sapoti yetu kuilaani israel mara kwa mara, atusaidie, apige tu simu kwa Ismail Haniyeh kiongozi wa Hamas, anaishi pale Qatar, amwambie awaachie hao watanzania wawili kama vile alivyowaachia waisrael wawili juzi. la sivyo siku nyingine asije kulialia kwetu kuomba tumpige sapoti.
point nyingine hii aise i wish mama aione na washauri wake washughulikie.yaani ni rahisi sana. unajua Kiongozi wa Hamas haishi Gaza, anaishi Qatar ana ofisi kabisa, na anaoperate na kutoa maelekezo yote akiwa Doha Qatar, hata mateka hao walioachiwa yeye lazima ndio alitoa maelekezo, na negotiations zote za mateka kuachiwa hata sasahivi zinaendelea na mediator ambaye ni Qatar. Balozi wa palestina hawezi kusema Hamas hawapatikani kwenye simu kwasababu ukipiga simu Doha hata sasahivi zinapatikana, au Balozi wetu aliyepo Qatar awashe tu gari aende kwa kiongozi wa hamas, amwambie chondechonde hao madogo hawahusiki na mgogoro, na sio wayahudi, ni masai na mchaga. hivi hawaoni hata aibu Africa miaka yote imekuwa supporter wa Palestine na bado wameteka watoto wao?
kinachomfanya awe bubu katika hili ni kwasababu hao vijana wote wawili ni wagalatia. kwake hawana thamani.1. Mbona ulishangilia kipindi ndugu zako wameenda kuua na kuchukua mateka? Tena ulitoa uzi kbs
2. Hao mateka wawili wa kitanzania, wametekwa na Israel?
Nyie ni kawaida yenu kwa unafiki. Sasa hivi waislamu na waislamu hawaelewani kuhusu Bakwata
Hii ni comment ya kijinga kuwahi kutokeaKuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.
Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.