Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
basi hata sisi tunasisitiza Netanyau ongeza moto kidogo hadi waseme. hapo hawajasema.
Haha ndugu zenu au magadi wenzenu, hahah wavaa kobazi mna vituko sanaa.
Na unasema haya kwa sababu hawana majina ya mwambao,
Hio inaonesha ni jinsi gani itikadi yenu imejaa chuki, mtengano na roho mbaya.
Hamtashinda hta siku moja
kumbe waislamu mnaakili fupi hivi. nyerere alivyoanzisha bakwata aliona mbali.
Eeh wayahudi weusi umekula Cha arusha nn mkuu.
Ujinga ni mzigo pole sanaNi nani alianzisha dini ya kiislsmu.Inailetea tatizo dunia.
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaWatu tukisema Gaza ipigwe mpaka igeuke kifusi wasijali vitoto maana navyo vitakua vigaidi huko mbeleni.Israeli iwapelekee moto hao wazee wangese walio shindwa kuwakataza vijana wao kuchezea mzinga wa nyuki huku hawajajiandaa
Hao wamefanana na mayahudi weusi wanaitwa wafalasha ambao wana asili ya Ethiopia kwa hiyo hao hamas wameona hao ni mafalashaswali ni kwamba, eneo lile linakaliwa na watu weupe, hao vijana ni pure african, wanajulikana kabisa kwamba sio waisrael, kwanini waliwakamata? hao nao wamewakosea nini au walikuwa wanakamata kila mtu tu, si wawaachie?
Pole sana1. Mbona ulishangilia kipindi ndugu zako wameenda kuua na kuchukua mateka? Tena ulitoa uzi kbs
2. Hao mateka wawili wa kitanzania, wametekwa na Israel?
Nyie ni kawaida yenu kwa unafiki. Sasa hivi waislamu na waislamu hawaelewani kuhusu Bakwata
Ndio kiongozi wa hamas yuko QatarYaani kiongozi yuko Qatar?
Mpigie simu umwambie awaachilie hao vijanahamas viongozi wao wote wakubwa hawaishi Gaza wala eneo lolote la palestina, wana ofisi nje ya nchi. na kiongozi wao mkuu ana ofisi Qatar, serikali ya Doha inamhudumia kila kitu kwasababu yupo pale kama mkimbizi. kwahiyo anapatikana hata kwasimu.
Kama vile nyatanyahu yuko mstari wa mbele kupigana na hamas tunamuona mpaka katika tv alivoshikilia bunduki pole sanaSwala so kupatikana kaka ni kwanini hawapo mstari wa mbele kupigana na wayahudi
Wewe sii huo anashangilia humu mauaji ya watoto wasio na hatia wa kipalestina? Muwe munabakisha maneno pole sanasema wanashikiliwa na magaidi. wewe kama mzazi ata hakiumi kwasababu watekaji ni waislamu na watoto sio wako unajua ni kitu gani hao watoto wanatendewa huko walipo?
Hao wamewafananisha na wayahudi weusi wanaitwa wafalasha ambao wana asili ya EthiopiaHamas maadui zao ni wayahudi ndugu zetu watanzania wamewakosea nini hadi wawa chukue mateka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes you are so proud.I'm so proud to be a Muslim
Karibu sana mkuu katika Uisilamu, dini ya kweli, amani na huruma.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
katika ubora wako. mbona mnyazimungu hawasaidii gaza sasa? huyo sio Mungu wa kweli, hata enzi ya Eliya Mtishibi alikuwepo, Mungu wa Eliya alishusha moto, ila Baal waliomba hadi wakajikatakata ili awaonee huruma na hakushuka, eliya aliwatania kwamba endeleeni kupiga kelele labka kaenda washroom. mnamhitaji Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo yaani Mungu wa Israel. msimfuate huyo anawadanganya kwamba mjiuwe au muue kafiri mtapata thawabu, na kwamba hamuogopi kifo, mnakitaka kifo ili mpate thawabu, kama hamuogopi kifo na kifo kwenuni thawabu mbona mkipigwa pakauma mnalia sana, kama mnakoenda ni kwema si mngewashukuru hao wanaowasaidia kuwasogeza huko? mtaabudu miungu ya kiarabu isiyookoa hadi lini?وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
katika ubora wako. mbona mnyazimungu hawasaidii gaza sasa? huyo sio Mungu wa kweli, hata enzi ya Eliya Mtishibi alikuwepo, Mungu wa Eliya alishusha moto, ila Baal waliomba hadi wakajikatakata ili awaonee huruma na hakushuka, eliya aliwatania kwamba endeleeni kupiga kelele labka kaenda washroom. mnamhitaji Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo yaani Mungu wa Israel. msimfuate huyo anawadanganya kwamba mjiuwe au muue kafiri mtapata thawabu, na kwamba hamuogopi kifo, mnakitaka kifo ili mpate thawabu, kama hamuogopi kifo na kifo kwenuni thawabu mbona mkipigwa pakauma mnalia sana, kama mnakoenda ni kwema si mngewashukuru hao wanaowasaidia kuwasogeza huko? mtaabudu miungu ya kiarabu isiyookoa hadi lini?
Israel ina wapalestina 1,500 kwenye magereza yao bila kesi wala kifungo wapo tu kisiri kama mateka!! Ila watu wapo concerned na mateka 100? I'm not supporting kidnapping ila Israel imeteka mara kumi ya hao waliotekwa na Hamas.Umeua na kuchukua mateka halafu bado umewashikilia. Halafu unataka dunia ikuonee huruma kwasababu umeonewa. Sijui nani ni mbaya 😁😁😁😁😁