jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Waislamu ambao hawafuati mambo kiushabiki mfano huyo chini siku ya tukio kwenye uzi maalumu alitoa comment hiyo na mimi nikaiLike.View attachment 2797158
Na mimi siku hiyo nikamjibu kwa kusema hivi.View attachment 2797159
Makatazo ya uislamu katika Jihad ya kweli ni hayo.View attachment 2797163
View attachment 2797166
Cc : Maghayo
Mkuu huyo king faisal anadai yeye sio muislam