yaani ajuza, hauna point hata kidogo, kwasababu huyo aliyehojiwa amesema hao raia 5 au 6 aliowaona wakipigwa risasi, waliuawa katikati ya cross fire, katikati ya mapigano, wakati wanajeshi wa israel wanajaribu kupiga magaidi ya hamas, ndipo wakaua raia waliokuwa katikali. haimaanishi kuwa israel walienda pale wakati hamas hawapo wakaanza kuua raia, NO. sasa kwa hicho kilichotokea, nini cha ajabu? hata hapa bongo ukiwa katikati ya cross-fire kati ya polisi na majambazi, risasi zinaweza kukukuta ila sio intentional. cha ajabu nini sasa hapo.