Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.

Mikono salama ya magaidi?. That’s why sometimes i portray religion as a curse. Hao watanzania waachiwe , they are innocent.
 
na hapohapo mitandao ya Israel inasema vijana wawili wa kitanzania, Joshua Loutu MOllel & Clemence Felix Mtenga wamekamatwa na hamas, walienda kwenye intenship ya kilimo na hatujasikia lolote toka serikalini kama wananegotiate au wanawasaidiaje au wameachwa hukohuko wafe.
Kwamba serikali ya Tanzania wanegoshieti na Hamas?.

Hapo ni kuomba tu itokee wakijisikia waachilie kama walivyowaachia wale Wamarekani...Hao Israel wenyewe hawatyaka kusikia kitu kunegoshieti wao ni kutembeza kichapo tu, wakiamua kuwaachia juu yao, wakiwaua juu yao.
 
Hamas wamefanya makosa kuteka watu hovyo pamoja na mengine ,na hatusemi kuwa Hamas ni wasafi.

Ila utashangaa Migalatia ya humu (baadhi akiwemo Maghayo na genge lake) inafurahia mauaji ya kutisha na ukatili wanaofanya Israel kwa raia wa Gaza wakiwemo watoto , Wanawake na Wazee .

Unafiki ,na chuki huwa zinadhihirika mapema sana.
Wavaa kobazi na wanywa gahawa ni watu wenye ushetani mkubwa na mnaofanya kupitia mgongo wa dini yenu.

Mnafanya maafa huku mkitaja Mungu. MUNGU YUPI HUYO WA ANAESUPPORT UNYAMA HUO
 
daah itakuwaje sasa maana hamas wanadai mateka 50 wameshauawa na haya mabomu yanayoendelea kurushwa na idf.

tuwaombee aisee muumba awape kinga
 
daah itakuwaje sasa maana hamas wanadai mateka 50 wameshauawa na haya mabomu yanayoendelea kurushwa na idf.

tuwaombee aisee muumba awape kinga
Hamas ni ushetani. Hakuna harakati yoyote pale.
 
Mikono salama ya magaidi?. That’s why sometimes i portray religion as a curse. Hao watanzania waachiwe , they are innocent.
Ndugu Huyu ni gaidi ana support magaidi wenzake wa huko
 
Ndio kawaida yenu, kinachosemwa na mzungu au myahudi mtaamini, hata kama ndugu zetu hamas wamewakamata hao mayahudi weusi watawahudumia vizuri na kuwaachia huru, huo ndio Uislamu bwana, mfano wale mabibi wa israel walihudumiwa mpaka wakaachiwa bila kudhuurika, huo ndio Uislamu bwana.


kumbe waislamu mnaakili fupi hivi. nyerere alivyoanzisha bakwata aliona mbali.
 
Niache kuandamana kwa ajili ya ndugu zetu wapalestina eti niandamane kwa ajili ya mayahudi weusi, hii akili ni ya wapi!! Sometimes muwe mnafikiria mnachoongea
Haha ndugu zenu au magadi wenzenu, hahah wavaa kobazi mna vituko sanaa.

Na unasema haya kwa sababu hawana majina ya mwambao,

Hio inaonesha ni jinsi gani itikadi yenu imejaa chuki, mtengano na roho mbaya.

Hamtashinda hta siku moja
 
Dini mbaya saana hii na yakuikataa kiakilo kabisa. Dini yenye ubaguzi kwa ndugu wa damu ila kujipendekeza kwa watu wa mbali kwao ni fahari.
Hii sio dini ndugu yangu, hii ni cult.

Ebu google CULT ujioonee.
 
Kwamba serikali ya Tanzania wanegoshieti na Hamas?.

Hapo ni kuomba tu itokee wakijisikia waachilie kama walivyowaachia wale Wamarekani...Hao Israel wenyewe hawatyaka kusikia kitu kunegoshieti wao ni kutembeza kichapo tu, wakiamua kuwaachia juu yao, wakiwaua juu yao.
Hamas ni mojawapo ya chama kinachounda Serikali ya Palestina ambayo imempeleka balozi wao hapa Tanzania. huyo balozi ni part and parcel ya hamas na anaongea nao kama wanaserikali wenzake.
 
Hamas sio magaidi, magaidi ni waisrael
😁😁😁😁😁😁
Unaona unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Kitendo cha kuvamia, kuua na kuuchukua mateka ni ugaidi.
Israel imeenda kukomboa mateka.
Mimi kama mtanzania, kwa kutekwa watanzania wenzangu Israel inatakiwa itembeze kichapo. Ningekuwa raisi, ningetuma wanajeshi kwenda kupigana na Hamas ili kuwakomboa mateka.
Huwezi kupatana na magaidi. Magaidi wanatakiwa wapigwe kama Israel anavyofanya.
 
Back
Top Bottom