Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

ngoja tuone wavaa kobaz wa tanzania kama wataandamana ili watanzania hawa ambao kwao ni makafir waachiwe au wana uchungu na wapalestina peke yake.

hapo ndo utajiuliza mara mbili mbili hivi hawa watu wanakuaga na akili kweli, wanawatetea palestine mpka mishipa inawatoka ila waTanzania wenzao utaona kama watatia ata neno.
 
Balozi yao siipo hapa kwann wasiambiwe wawapigie simu hao Hamas wawaachie ndugu zetu,,,hawahusiki hao na ugomvi wao
 
Balozi yao siipo hapa kwann wasiambiwe wawapigie simu hao Hamas wawaachie ndugu zetu,,,hawahusiki hao na ugomvi wao
ubalozi wao upo hapa na mashambulizi yalivyoanza juzi alitoa wito watanzania walaani mashambulizi ya israel. hamas ni chama na ni viongozi wenzake serikalini, awapigie tu simu wawaachie watanzania kabla hatujapigia mstari kwamba aidha hajawasaidia kwasababu watanzania hao ni wakristo wote wawili na pengine ndio sababu ya kushikiliwa na magaidi ya hamas au pengine hathamini watanzania anataka tu watanznaia wawathamini wapalestina. hana shukran manake.
 
ngoja tuone wavaa kobaz wa tanzania kama wataandamana ili watanzania hawa ambao kwao ni makafir waachiwe au wana uchungu na wapalestina peke yake.

Tatizo unaandika kama vile ni VITA ya Waislamu na Wakristo wakati Israel hakuna Wakristo.
Kwa taarifa tu; Waisrael ambao ni Waislam ni 20% na waliobaki ni Jewish
 
Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix

wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985
Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
 
zaidi ya yote umeshikilia hadi watanzania ambao hata hawajakupora ardhi, wabongo masikini kabisa walioenda kujifunza kilimo na walipelekwa na serikali. hao ndio wapalestina, mioyo yao halisi ndio hiyo.hawana rafiki. kweli uende israel ukute mtu ana sura nyeusiii ya kimasai pale tena katoto kanaonekana hata hakajaenda hata jeshini na hakuna mamluki israel, ukakakamata na kukateka? kaafrika kabisa, kana shida gani na wapalestina?
Watu tukisema Gaza ipigwe mpaka igeuke kifusi wasijali vitoto maana navyo vitakua vigaidi huko mbeleni.Israeli iwapelekee moto hao wazee wangese walio shindwa kuwakataza vijana wao kuchezea mzinga wa nyuki huku hawajajiandaa
 
Kwa jinsi Israel inavyopiga mabomu kila sehemu,huenda wameshauliwa na mabomu ya Israel
 
Duh mwaka juzi wanangu 6 walienda huko 🇮🇱 kwa program hii hii

afadhali mkuu hawajakutana na hili janga. ungekuta saivi presha imepanda. tupige kelele itawapa faraja ya wazazi wa hawa watoto na itasaidia kuachiliwa.

inasikitisha sana kwa kwelii.
 
Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Ajuza rafiki yangu, Hamas wameteka Watanzania wawili, wanafunzi walipelekwa na serikali kwenda kufanya internship kwenye kilimo, Joshua Loutu MOllel & Clemence Felix Mtenga, hawa wote ni wakristo, mmoja mmasai mwingine mchaga. unasemaje, tuandamane ili hamas wawaachie? au, balozi wa palestina si yupo hapahapa bongo, wewe kama ndugu yake katika imani huwezi kwenda kuongea naye awapigie simu viongozi wa Hamas Qatar kwamba wawaachie hao watoto wawili warudi?

nataka kupata mawazo yako kuhusu hili, tufanyeje warudi?
 
Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Astaghfirwanallah
 
Back
Top Bottom