Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu.

Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni 4.8 kwa watu kumtazama live akiwa analala usiku kupitia account yake ya Twitch.

Amouranth kajitafuta na kujipata kwenye njia yake ya kuingiza pesa akiwa amelala fofofo, kila anapolala anakuwa live kupitia account yake ya Twitch na maelfu ya watu huwa wanamtazama kwa usi#lifestyle
 
mambele sio wenzetu, wadada wazuri wanapiga hela wanauza mikojo, video na picha za uchi, nguo zao za ndani walizotumia, vijambo....

kuna wanaume wanalipia kabisa kuchat na madem, kuchat tu wanalipia!!
 
Mkuu apo ata sio issue ya kwamba ana-akili nyingi ni bahati tu
 
sifa zote hizo bila picha ni bure kabisa mkuu
tumuone amelala tumfuate-tu subscribe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…