Hawa ndiyo JF members wazee wa nongwa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naam kumekuwa na propaganda za hapa na pale, za chini chini na za juu juu, zikisambazwa na wanasimba Lia Lia.

Hiyo inatokana baada yakuona timu yao aka chuo Cha wastaafu Simba ikiipunga mkono wa baibai kwenye mbio zakuwania ubingwa wa NBC PL mwaka huu.

Nimepitia nyuzi zao mpaka nikacheka Sana halafu wapo serious na propaganda zao ukizisoma kwa umakini unaweza kudhani yanga wamekwisha jinsi wanavyoandika Mambo pamoja na ushahidi wakubumna juu.
Sasa leo nimeamua kuwataja pamoja na nyuzi zao ili mashabiki wa yanga mnapoona nyuzi zao msiogope.

1. Mshana Jr huyu ni mwansimba anauzi wake unaitwa "jezi ya yanga ni nzito" ukisoma yaliyomo unaweza kuogopa kabisa maana anakuambia msimu huu yanga Wana bahati mbaya sana.

2.@GENTAMYCINE huyu mwamba humuelezi kitu chochote Mambo ya yanga pamoja na mikataba yao Ana habari nyeti za ndani kabisa kuhusu yanga, ukisoma nyuzi zake unaweza kudhani ni ukweli kumbe ni mzee wa propaganda anawajaza nyembe mashabiki wa yanga.

Toka juzi mpaka Jana ameandika takribani nyuzi elfu moja kuhusu yanga na feitotoo.

3.@DullyJr huyu ni mdogo wake na mwamba gentamycine huwa anashupaza Sana shingo nakutoa povu anaposambaza propaganda zakuisema yanaga.

Ana uzi wake huko unaeleza kwa Nini feisal kaamua kuondoka yanga.
Eti anakuambia kwa sababu alikua anapewa koti kubwa avae pamoja na miwani yakuchomelea.

Yaani ukisoma nyuzi zake unaweza kupaniki kumbe mwamba yupo kazini akipushi agenda ziwachanganye akili wananchi.

4 OKW BOBAN SUNZU huyu mwamba nae yupo vizuri katika suala la propaganda, ukitaka mkataba wa Aziz ki, huyu mwamba anao. Ana uzi wake kaandika ukisema "mpaka Sasa Aziz ki mkataba wake haujalipa.
Yupo vizuri Sana kwenye kuandaa nondo za propaganda ili kuwa toa kwenye RELI mashabiki wa yanga.

Wapo wengi hao ni wachache niliowaorodhesha hapo, mpaka Sasa wejikausha hakuna aliyeandika uzi wakuisifu Simba juu ya ujio wa saidoo ntibazonkiza na usajili wa inonga Bali wamegeukia kumlaumu kipa wa azamu kuwa no mzembe hawezi kazi bila kusahau kuwa walishindwa kumfunga na uzembe wake.

NO FEISAL NO PROBLEM VIMBA MWANA YANGA VIMBA.
 
Bila hzi propaganda mpira haunogi hii sio jumuiya ya mtktf katarina wa sienna iwe ni kusifia tuu.. na hii ndo inaleta raha ya utani wa jadi...mpira una ups and down kuna nyakati mtu unatamani hata ujifiche chini ya handaki mashabiki wakikuamulia..mpira una uongo mwingiii...
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Fungua hapa kwanza,alafu uende katika uzi unaomuhusu mwamba kabisa chezaji pekee lenye highest profile katika ligi yetu SAIDO NTIBANZONKIZA ANTIBIOTIC , yupo kaika timu ya ndoto zake anayoipenda toka utotoni SIMBA SC
Your browser is not able to display this video.
 
Wana Simba kindakindaki
 
Heri ya sikukukuu NALIA NGWENA nikutakie na mwaka mpya mwema ... Michezo ni furaha sio ugomvi lakini kwenye kunogesha furaha na kunogesha mambo lazima kuwepo na ushabiki na upinzani
Haihitaji degree ili uwe shabiki au mpinzani! Uzi wangu ule kuna kifungu wengi wenyu hamkukizingatia badala yake mkabaki na heading tuu.. Kasome tena kuhusu nguvu ya rangi ya kijani[emoji1545]
 
Kuna aliyeanzisha uzi wa kumlinganisha Mayele na Kibu, mwisho kakimbia uzi na hata akiitwa humo harudi.
 
"Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe"


Mkuu hayo ni maneno yako nimenukuu kutoka kwenye uzi wako ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…