Hawa ndiyo JF members wazee wa nongwa

KAMATI YA ROHO MBAYA HIYO
 
Ukiwakuta wana yanga wanaielezea timu yao, unaweza ukadhani Ile Barca ya pep inafungwa 4-0 na yanga
Yanga ni watu wanaoweza kujitoa mhanga wakajilipua mabomu kwa ajili ya Mayelle!!

Yaani wao wanaona hata leo hii wakitokea hawa Man City watawafunga tatu kavu kama wafuasi wa Makenzie!!
 
Yanga ni watu wanaoweza kujitoa mhanga wakajilipua mabomu kwa ajili ya Mayelle!!

Yaani wao wanaona hata leo hii wakitokea hawa Man City watawafunga tatu kavu kama wafuasi wa Makenzie!!
Na ukiwakuta simba wanavyomsifia chama unaweza kusema ni Lionel mess kashuka Tanzania

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…