gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
no ahmada wa azam 50m per monthAh sasa kwani mzee wa kutetema huo mshahara analipwa hapa kwa Samia?
Hapa kwa Mwigulu nadhani anayelipwa mzigo mkubwa kuliko wote ni Azizi Ki... wambea wanasema analamba 21m kwa mwezi.