Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Waarabu wa Nzega lakini mkuuDr winani from Tarime pia mkewe ni mzungu, bila kumsahau Dr Sanga lecturer st john pia mkewe ni mzungu, ila huku mtaan kwetu sie tunajiachia na waarabu na wahindi mazalia, karibu sana salawi upate wife materia rangi nyeupe ( waarabu na wahindi)
Na yule dogo alieimba Salima akimshirikisha Diamond😀😀😀😀 na Bonta naye kaoa mzungu
kubwa hilo mkuuTatizo dogo hili mkuu
Mwarabu.Mzungu aki cross na mwafrika watoto wanapatikana wazuri sana, shida ni mwafrika across na ....[malizia]
Ni half cast wa kihaya na Mgiriki..huyo mke wa kingunge mbona si mzungu anaonekana kama ni mmanga tu..
Maggid ndo nani mkuu na ana wadhifa gani? au umemaanisha Maggid Mjengwa?
mbona mmemsahau fid Q na harmonize? au hao sio wahenga? 😀 😀 😀
kimsingi..mwanamke wa kizungu si mzuri..wa kuhesabu sanaHivi ni kwanini waafrika wanapo oa wazungu ni lazima hao wazungu wawe ma-rejects huko watokako? Kuna uhusiano gani mwaafrika kuoa mzungu aliye reject na uzuri? Sijawahi kuona mwanamke mzuri wa hawa wazee wetu, je....ilikuwa ni ngekewa tu ya kuoa mzungu ili aonekane wa maana au?
Haramu yako halali ya mwenzako...ukute hata huyo unayejivunia wewe kwa wengine ni reject hana uzuri wowoteHivi ni kwanini waafrika wanapo oa wazungu ni lazima hao wazungu wawe ma-rejects huko watokako? Kuna uhusiano gani mwaafrika kuoa mzungu aliye reject na uzuri? Sijawahi kuona mwanamke mzuri wa hawa wazee wetu, je....ilikuwa ni ngekewa tu ya kuoa mzungu ili aonekane wa maana au?
kimsingi..mwanamke wa kizungu si mzuri..wa kuhesabu sana
Haramu yako halali ya mwenzako...ukute hata huyo unayejivunia wewe kwa wengine ni reject hana uzuri wowote
Siwezi sababu uzuri wa huyo wako unaujua wewe pia uzuri wa wake wa wengine wanaujua wao ndio maana wameishi hata kuzeeka wote hivyo hata wewe usikashfu wengineInawezekana ila najuwa fika hata wewe huwezi kumfananisha huyu niliye naye na wanawake wa kizungu walio oa hawa wazee wetu.
Huyu aliolewa melini akaachikaVipi Le Kopoz aka Le kubwa jinga aka Le mzee wa wabeibe wakali kama womanity