Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Dr winani from Tarime pia mkewe ni mzungu, bila kumsahau Dr Sanga lecturer st john pia mkewe ni mzungu, ila huku mtaan kwetu sie tunajiachia na waarabu na wahindi mazalia, karibu sana salawi upate wife materia rangi nyeupe ( waarabu na wahindi)
Waarabu wa Nzega lakini mkuu
 
FB_IMG_1511818194017.jpg
Maggid ndo nani mkuu na ana wadhifa gani? au umemaanisha Maggid Mjengwa?
 
Hivi ni kwanini waafrika wanapo oa wazungu ni lazima hao wazungu wawe ma-rejects huko watokako? Kuna uhusiano gani mwaafrika kuoa mzungu aliye reject na uzuri? Sijawahi kuona mwanamke mzuri wa hawa wazee wetu, je....ilikuwa ni ngekewa tu ya kuoa mzungu ili aonekane wa maana au?
 
kimsingi..mwanamke wa kizungu si mzuri..wa kuhesabu sana
 
Hivi ni kwanini waafrika wanapo oa wazungu ni lazima hao wazungu wawe ma-rejects huko watokako? Kuna uhusiano gani mwaafrika kuoa mzungu aliye reject na uzuri? Sijawahi kuona mwanamke mzuri wa hawa wazee wetu, je....ilikuwa ni ngekewa tu ya kuoa mzungu ili aonekane wa maana au?
Haramu yako halali ya mwenzako...ukute hata huyo unayejivunia wewe kwa wengine ni reject hana uzuri wowote
 
Inawezekana ila najuwa fika hata wewe huwezi kumfananisha huyu niliye naye na wanawake wa kizungu walio oa hawa wazee wetu.
Siwezi sababu uzuri wa huyo wako unaujua wewe pia uzuri wa wake wa wengine wanaujua wao ndio maana wameishi hata kuzeeka wote hivyo hata wewe usikashfu wengine
 
Back
Top Bottom