Na hao wote wanatembelea ringi saa hii.Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;
1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya
6. Ally Hapi
7. Mnyeti
8. Kalemani
9. Dotto
10. Ngusa
Ongezea niliowasahau.