PostGE2025 Hawa ndiyo waliotupwa nje baraza jipya la mawaziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,

1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,

2. Hussein Bashe (Kilimo),

3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),

4. Jenista Mhagama (Afya),

5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),

6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na

7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
 
Yoooooooteeeee
 
Simba chawene yupo?
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dk Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dk Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
 
Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dk Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dk Damas Ndumbaro (Sheria na Katiba)

Kudadadeki.....!!!!!!!
 
Kwahiyo only seven are new
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…