PostGE2025 Hawa ndiyo waliotupwa nje baraza jipya la mawaziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,

1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,

2. Hussein Bashe (Kilimo),

3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),

4. Jenista Mhagama (Afya),

5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),

6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na

7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Hapa nyota ya Selemani Jafo sijui imefubazwa na nini!

Maana awamu ya 5 alikuwa ni moto, tena waziri wa kutumainiwa.

Kwa 'Magu' ilikuwa huwezi mwambia kitu juu ya Jafo akakusikiliza!
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,

1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,

2. Hussein Bashe (Kilimo),

3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),

4. Jenista Mhagama (Afya),

5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),

6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na

7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Yule alikua naibu wa afya amerudi? Dogo mmoja hivi mwenye komwe na chawa wa kutupwa. Nimesahau jina
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,

1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,

2. Hussein Bashe (Kilimo),

3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),

4. Jenista Mhagama (Afya),

5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),

6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na

7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Pongezi kwao hawa.

Iwe wametemwa au wamekataa kuungana na uovu yote ni neema, kuliko kuwa sehemu ya uchafu huu ambao kiuhakika hauna maisha marefu.
 
Mimi siwatambui maana tarehe 29 hakukua na uchaguzi bali mauaji.

Hilo kwangu ni baraza la kupiga soga na umbea la bi Mwenda.

Muuaji anatakiwa kujiandaa kwenda ICC kujibu tuhuma za mauaji ya halaiki.
Mimi nawatambua inatosha
 
Back
Top Bottom