PostGE2025 Hawa ndiyo waliotupwa nje baraza jipya la mawaziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umoja wa wachawi haudumu 😂
 
Hao wafala tu acha wasubiri bench.
Watapata akili ya kupambania Tanganyika yetu
 
Mitano tena *****
 
Ni Dotto Biteko, Jennista Mhagama, Damian Ndumbaro, Selemani Jaffo, Bashungwa.

Ikimhusu pia Hussein Bashe japo yeye hakuwa member wa Sukuma Gang
 
Msoga yupo pembeni tu .. akisukuma kete
 
Ni Dotto Biteko, Jennista Mhagama, Damian Ndumbaro, Selemani Jaffo, Bashungwa.

Ikimhusu pia Hussein Bashe japo yeye hakuwa member wa Sukuma Gang
Wanaweza kuteuliwa huko mbele, msimalize maneno.

Kabudi, kitila mkumbo na lukuvi waliwahi kuondolewa kwa pamoja watu wakajaza kurasa za maneno, baadae wakarejeshwa. Ccm wanajuana
 
Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dk Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dk Damas Ndumbaro (Sheria na Katiba)

Kudadadeki.....!!!!!!!


Hawa walipachwa hawakumsaidia kwenye mauaji ya Watanganyika.
 
Bashubgwa
Jiandae ht ubunge huo unaweza usitoboa
 
kama wamekataa kuwemo
 

ULEGA​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…