PostGE2025 Hawa ndiyo waliotupwa nje baraza jipya la mawaziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Pave the way to rizione
 
Namba 1. 2. 3 na 7 naona ni sahihi kabisa, wamesha tumiwa kama ni muwa umetafunwa, wamehakikisha ukitema lile ganda ukiliwasha moto linawaka muda huohuo, wamefujwa sana tena bora hata namba 1 ila huyu 2. 3 na 7 sina hamu nao kabisa
 
Jenista mhagama.πŸ˜„πŸ˜„.
Siku ile ya uapisho kabeba bendera yake mwenyewe ya Tanzania anapeperusha tu.
Ila angejuaaa
 
Bashungwa alibariki Lissu ateswe kisaikolojia, akabatiki Watanzania wapigwe mahakamani...nk apigwe chini tu.

Bashe kaonewa.
 
Katika hao wote Dotto tu ndio anastahili kupewa wizara tena kati ya zile nyeti. Wengine waliobaki hamna kitu.
 
Jenista mhagama.πŸ˜„πŸ˜„.
Siku ile ya uapisho kabeba bendera yake mwenyewe ya Tanzania anapeperusha tu.
Ila angejuaaa
Huyu tangu aingie kwenye baraza, hajawahi kuondolewa, huwa anabadilishwa tyuuh.

Leo katemwaa, na kaka ake ndumbaro.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…