Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Hapa nyota ya Selemani Jafo sijui imefubazwa na nini!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.
Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,
1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,
2. Hussein Bashe (Kilimo),
3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),
4. Jenista Mhagama (Afya),
5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),
6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na
7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Yule alikua naibu wa afya amerudi? Dogo mmoja hivi mwenye komwe na chawa wa kutupwa. Nimesahau jinaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.
Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,
1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,
2. Hussein Bashe (Kilimo),
3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),
4. Jenista Mhagama (Afya),
5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),
6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na
7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Pongezi kwao hawa.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.
Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa,
1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko,
2. Hussein Bashe (Kilimo),
3. Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani),
4. Jenista Mhagama (Afya),
5. Dkt. Seleman Jafo (Viwanda na Biashara),
6. Dkt. Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na
7. Dkt. Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria.
Mimi nawatambua inatoshaMimi siwatambui maana tarehe 29 hakukua na uchaguzi bali mauaji.
Hilo kwangu ni baraza la kupiga soga na umbea la bi Mwenda.
Muuaji anatakiwa kujiandaa kwenda ICC kujibu tuhuma za mauaji ya halaiki.
Endelea kuwatambua mimi siwatambui na sitowahi kuja kuwatambua.Mimi nawatambua inatosha