Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Kuna ile nyimbo moja ilivuma sana miaka ya 2002. Nakuhuitaji, mpenzi wangu nakuhitaji. Angwisa, kisanga wangungule, angwisa. Aliimba mwanadada na jamaa flani hivi, sijui saiv wapo wapi
Ni Cazi T x miss sarah- nakuhitaji

Wapo na maisha yao private hapo nchi jirani
 
Jackie marie- tulia
Soggy dogy- kibanda cha simu
Maru- ukweli ni kwamba mimi ni baba
Wachuja nafaka- ya leo kali, mzee wa busara
Mwana dada shaa-
Inspector haroun-
Vumi- tatizo umaskini
Jaffarie -niko bize
Maunda zorro- mapenzi ya wawili, nifanye niwe wako
 
Hata Tiffah naye akishatoa wimbo wake wa STAKI na babake ndiyo atapotea moja kwa moja
 
Huyo aliyeimba "Nakuhitaji" ni Sarah Kipingu, Mdogo wake Erasto Kipingu
 

Prof. J hajawahi kuwa wateule, wateule iliundwa na Moe, Mox,Jaffarie na Kevin.
Mkiwa sio wimbo wa Daz, ni wimbo wa dogo mmoja anaitwa K sal,sema alikuwa anamuiga Ferooz.
 
Walikuwa wanatumia Tafsida,na ilikuwa vigumu baadhi ya wengine kuelewa anamaanisha nini,sio kwa wakati huu nyimbo zipo uchi mpaka unaona Aibu kusikiliza.
Rudia kusikiliza hizo nyimbo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…