Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Bush party waliua sana..melody na beat vilinogesha haswa
solid ground family hii ndani ya bush pary, solid ground family hii ndani ya bush part say chereko cherekoooo , say nderemoo nderemoooo Viiifijo na mayowe mayowe... noma sana.
 
Natamani na sifai waliua sanaa hao wamba..ila umesahau kundi moja la hiphop.kutoka Arusha N2N...walifanya hiphop kuwa yenye kupendwa East Africa..full ujumbe + yale mabifu yao
nako to nako si bado lipo hapo ametoka G nako na niki wapili..
 
nako to nako si bado lipo hapo ametoka G nako na niki wapili..
Ni.kama imejifia ..wasanii kama dahustler na loard eyzs baada ya kutoka kundi lilipotea...nakumbuka nyimbo zaa kma na vile nawakilisha na mchizi wangu...waliipaisha sana Arusha kwey hiphop
 
solid ground family hii ndani ya bush pary, solid ground family hii ndani ya bush part say chereko cherekoooo , say nderemoo nderemoooo Viiifijo na mayowe mayowe... noma sana.
Duu..saut ilikuwa inatoka yenyew bila ma filter..c kama siku izi msaniI akiimba hupati uhasilia ya saut ya mhusika mwenyew
 
Kuna wale waloimba..
Wauguzi daktari na manesi wauguzi
Taratibu jamani hayaaa
Tutaonana wabaya hayaaa

Bila kumsahau mr ebo mzee wa mbadoooo
 
Back
Top Bottom