Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

O Ten mzee wa Morogoro aliyekuwa East Coast Team na nyimbo zake Nicheki, alifanya bifu na afande Sele wakatunga wimbo unaitwa Tusahau.

Huu wimbo afande alibonda sana, mashairi yaliyoshiba mpaka kupitiliza kwa kutumia maneno halisi na mpangilio uliotukuka,utasema alitunga mwaka mzima
Ni moja ya verse bora kuwahi kutokea katika bongo fleva ukiachana na ile ya Mansu Lii katka wimbo wa mchizi wangu remix wa Nako 2 Nako.
 
Verse bora? Labda useme verse ndefu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15. ALICOM alibamba na ngoma ya Selina

16. J.I–kidato kimoja

17. Berryblack–najua

18. Snoop lee–Mic nadaka ft Mr blue, acha party ianze ft Dully
 
Kali P namwelewa sana
 
nipo na kamusi hapa.. sioni tafsiri ya neno kusanda

Muhuni huyu mm nikajua angesema wasanii waliotoa ngoma 1/2 na kupotea au game kuwakataa yeye linasema Kusanda
Kusanda ni neno la mtaani ambalo sio rasmi lenue maana ya kushtuka yaani kujua kitu fulani sasa alosema yeye haihusiani na alichaondika basi uzi wote Kazi bure
 
Natamani na sifai waliua sanaa hao wamba..ila umesahau kundi moja la hiphop.kutoka Arusha N2N...walifanya hiphop kuwa yenye kupendwa East Africa..full ujumbe + yale mabifu yao
 
Natamani na sifai waliua sanaa hao wamba..ila umesahau kundi moja la hiphop.kutoka Arusha N2N...walifanya hiphop kuwa yenye kupendwa East Africa..full ujumbe + yale mabifu yao
Wakali kwanza hao, na walikuwa wakali kweri kweri...
Kuna ngoma inaitwa I like music ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Athuman Mlevi
Mechi kali
Baba Jane
Kichaa cha Jerry
Bush Party
Vibonge
Happy Birthday...

Jamaa walikuwa wanajua...
Bush party waliua sana..melody na beat vilinogesha haswa
 
Vp Noorah kapotelea wap?due last time nliskia ana saratan
 
Huu Uzi umenikumbusha mbali sana 2001, 2002 tukiparty Mango Garden Morogoro tukiwa na akina John Dilinga aka Dj JD na Balozi Dolla Soul..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…