Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.View attachment 803829
Mshana Jr
2.View attachment 803830
GuDume
3.View attachment 803832
Mr Miller
4.View attachment 803833
Hazard fc
5.View attachment 803834
Humble African
Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za Mwananyamala koma koma.
Demiss Malaikaa.
Tunaweza kuwa mapacha [emoji3][emoji3]Hahahhaha uwiii usije nikimbia wewe mwenyewe mm mbaya
Sasa mbona katika hao uliowataja mmoja namjua na hana uhandsome wowote ana sura ngumu sura ya kazi sura ya kiumeNdo wenyewe haooo
EeenhYaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile. Nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, yaani I feel proud sana. Ahahaha!
Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii kupiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?
But I'm humbled!
Shunie unacheka nini sasa?[emoji23]Eeenh
Umenipagawisha ujue na maneno yako jamani mpaka nilitaka kukwambia weka picha [emoji16][emoji16]Shunie unacheka nini sasa?[emoji23]