Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Nasikitika kutangaza njemba wote mliobaki ni sura mbuzi tabasamu la ng'ombe kwa tafsiri ya Demiss lakini. [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off course ndio sisi,si hutaki kufungua pm.yako utuoneKwahiyo hizo picha ndio wao eenh hao mahandsome
Ndio ninachofikiri nataka kuweka picha nijitengenezee mazingira ya kuchukua watoto wazuri humu bila kuwapa sound.[emoji23]Umenipagawisha ujue na maneno yako jamani mpaka nilitaka kukwambia weka picha [emoji16][emoji16]
Mm bwana uhandsome wako baki nao tu napenda sura ngumu sura ya kiume sura ya kaziOff course ndio sisi,si hutaki kufungua pm.yako utuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utakuwa umefanya la maana sanaNdio ninachofikiri nataka kuweka picha nijitengenezee mazingira ya kuchukua watoto wazuri humu bila kuwapa sound.[emoji23]
Kama kuwa handsome ndo ivo hatamimi nimo kwa mbali
Bora hujanitaja....maanaPovu ruksaaa
Nilikutania tu,mimi na sura ngumu,hiyo sura ni ya kazi,au unaionajeMm bwana uhandsome wako baki nao tu napenda sura ngumu sura ya kiume sura ya kazi
Nilikutania tu,mimi na sura ngumu,hiyo sura ni ya kazi,au unaionajeView attachment 803840
Hapo kwenye hela ndio utata ss!Na mm nilikutania mm napenda mahela tu