Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile na nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident mno. [emoji23] [emoji23]

Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii alipiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?

But I'm humbled!
 
Eeenh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…