Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
[emoji124]Ndiooo
Usife tu.... Maana.... Hii sura ngumu kwa kuipeleka ntakuwa sina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan nisipokuona nakuwa mgonjwa kabisa
Hapoo sawaaa sasa!Khaaaaa mm najua wewe ni mwanaume wa shoka siku yako yajaaaa na uzi wako na sifa kedekede
Mtoto wa paka ni pusi tu.... AhahahahahaaaUmejuaje yani kama ulikuwepo
Ndio natakaUnataka kuona kweli nikikojoa?
Tutakufa wote jamani mana nikikuacha hakuna atakaekukubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usife tu.... Maana.... Hii sura ngumu kwa kuipeleka ntakuwa sina...
PovuWewe mwanamke huna kazi za kufanya afu inaonekana haujattombwa muda mrefu au anayekutottomba hakufikishi
Hahahaahhahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile. Nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident mno. [emoji23] [emoji23]
Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii alipiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?
But I'm humbled!
Tupe picha ya Melvin kwanza. Hatutaki msifie mabeb wenu wakati manatudanganyaHapo hakuna anaemfikia melvin hata mmoja
Unazidi watoa povu mbaya weweNasikitika kutangaza njemba wote mliobaki ni sura mbuzi tabasamu la ng'ombe kwa tafsiri ya Demiss lakini. [emoji23] [emoji23]
Itakuwa poa ujinyakulie mtoto mmoja mkaleeNdio ninachofikiri nataka kuweka picha nijitengenezee mazingira ya kuchukua watoto wazuri humu bila kuwapa sound.[emoji23]
Umesahau ''' HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA?" .... Tutatengana tu, ntajitahidi niende kwa familia ya kiganga (PCM) ili wanipe dawa nimpate ha Mzigua...Tutakufa wote jamani mana nikikuacha hakuna atakaekukubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haahahahahaj toka hapaa we unamjua kidogoo angalauu ushaona hata zile lips dendaTupe picha ya Melvin kwanza. Hatutaki msifie mabeb wenu wakati manatudanganya
Weka picha bwana acha kutujazaHapo hakuna anaemfikia melvin hata mmoja
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hiyo picha ya huyo jamaa aliewekwa na demiss ni Mimi kila kitu...nimesema kuanzia skin colour.. Huyu jamaa ni light skinned na Mimi ni light skinned, body size ya huyo jamaa ndio body yangu hivyo hivyo, facial structure ya huyo jamaa ndio Mimi kabisa.
Umeomba picha nimeona nipige mironjo kwanza uone kama kuna correlation ya hayo niloyoyasema hapo juu. Mke wa mganga ametisha sana yaani hiyo picha aliyoweka ndio Mimi kabisa.
Mke wa mjumbe ni mjumbe pia na...mke wa mganga nae ni mganga pia.View attachment 803843
Umesahau ''' HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA?" .... Tutatengana tu, ntajitahidi niende kwa familia ya kiganga (PCM) ili wanipe dawa nimpate ha Mzigua...
CC
Demiss