Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Halafu pm zangu kwa nn haunijibu nimekukosea nn au sababu umeshajua nakupenda we babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Weeeeeee. Nawajua hao wenye avatar wii embu usidanganye tafadhali. Ndo maana tunakimbianaga kisa kukuta tofauti na kwenye avatar
Kumbe na wewe zako za kuwakimbia eeeh
 
Hapana nipo mbeya one time makao makuu nakuja jpili ndo maana nlitaka iwe muhimu maana ijumaa tena naelekea mwanza
Khaaaaa basi tufanye kila liwezekanalo wote turudi jpil na club tutaendaaa eeeh ndo zangu hizoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…