Yupo busy KTDavet ukuje hukuuuu
Zoom eka na kikuzioNgoja nizooom
Shemeji unasema???Umesahau ''' HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA?" .... Tutatengana tu, ntajitahidi niende kwa familia ya kiganga (PCM) ili wanipe dawa nimpate ha Mzigua...
CC
Demiss
Lile body jamani mweee. Wakubwa mnafaidiiiHaahahahahaj toka hapaa we unamjua kidogoo angalauu ushaona hata zile lips denda
Etiii [emoji23][emoji23]Unamtaka na ndg yangu mzigua
Nikumbushe [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana kuna kitu nimekumbuka bwahahhahahaha
Sijawahi kimbia mtu. Nashukuru nimekutana na wakaka wenye haiba na tabia za kiume humuKumbe na wewe zako za kuwakimbia eeeh
Wapi huku nije kumuwakilisha?huwaga unawashwa washwa we mama mganga, karibu Pork joint hapa
My Cepha jamaniMm nampenda Cepha tu
TeeeenaJishaue dada [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati ndo huuuu
mmmh sio kwa kujisifia hukooWakati baba angu anaangaika kutafuta mahari za kumuoa mtoto mzuri, mrembo mwenye sura kama mercy galabawa ili azae watoto wazuri baba zao walikuwa vilabuni wanang'ang'ana na akina mwajuma ndala ndefu matokeo yake sura zinakuwa chachu wanamlaumu demiss.
Ahahaha!! Baba aliwahi kuniambia alishawai kuchumbia hadi kwa Wahindi miaka hiyo wakamtolea wakikariri ni nyani ila no sweti he didn't give up at last akamdaka mnyange mother.
Good job my Dad. [emoji23]
Etiii [emoji23][emoji23]
Mods nimewanunua hawawezi kunipa banNitaomba mods wakupe ban
Jijini Idodomiya aisee Upo?Wapi huku nije kumuwakilisha?
Sio mbaya ntamtunzaEti nikifa anakurithi
Niko kwa Makonda. Huko kwenu weekend ijayo naweza kuwepoJijini Idodomiya aisee Upo?