Nipe mdogo wako basiNa wewe handsome eeeh
HahahahahAsante jaman my kipenzi rafiki nakupendaga sana yanii mzinzi mwenzangu
Mwenyekiti nilikua kisasa kuna mshkaj wangu alikua na kikao cha harusi,uko wap now?Uko wapi katibu
Wapi?waswanu au?Njoo tunakusubiri katibu nikuagizie rost au kavuuu
Poa poaYes hapohapo nakusubir
Soon niko hapo![emoji23] [emoji23] ,usikimbie[emoji23][emoji23][emoji23]ngj nijiandae kukimbia
Siyo sana bwanaNajua mzinzi wewe nakuaminia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana Jr na akili yake iliyojaa uchawi hawezi kuwa handsome I bet.
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wachawi wa digital