Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Tafuta kazi ya kufanya,kushinda kwako JF huku ukiandika vitu visivyo na maana wala muelekeo hakutokusaidia lolote,fainali uzeeni,angalia usije ukawapa shida wengine huko mbeleni kwa uzembe wako.
 
Haya kaka nashukuru nitakuja pm basi unipe mada za kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…