Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hahahahhaha mambo yangu huwa lazima nitingishe tunguli ndo niachieee mkuu aiseee hiyo TEMBEA yako leoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]taratibu usije pigwa ngumi na sura ngumu kama wassira
 
Weka picha mkuu
Yaani hiyo picha ya huyo jamaa aliewekwa na demiss ni Mimi kila kitu...nimesema kuanzia skin colour.. Huyu jamaa ni light skinned na Mimi ni light skinned, body size ya huyo jamaa ndio body yangu hivyo hivyo, facial structure ya huyo jamaa ndio Mimi kabisa.

Umeomba picha nimeona nipige mironjo kwanza uone kama kuna correlation ya hayo niloyoyasema hapo juu. Mke wa mganga ametisha sana yaani hiyo picha aliyoweka ndio Mimi kabisa.

Mke wa mjumbe ni mjumbe pia na...mke wa mganga nae ni mganga pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mironjo nataka sura mm
 
Hahahahhaha mambo yangu huwa lazima nitingishe tunguli ndo niachieee mkuu aiseee hiyo TEMBEA yako leoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]taratibu usije pigwa ngumi na sura ngumu kama wassira
Wakati baba angu anaangaika kutafuta mahari za kumuoa mtoto mzuri, mrembo mwenye sura kama mercy galabawa ili azae watoto wazuri baba zao walikuwa vilabuni wanang'ang'ana na akina mwajuma ndala ndefu matokeo yake sura zinakuwa chachu wanamlaumu demiss.

Ahahaha!! Baba aliwahi kuniambia alishawai kuchumbia hadi kwa Wahindi miaka hiyo wakamtolea wakikariri ni nyani ila no sweti he didn't give up at last akamdaka mnyange mother.

Good job my Dad. [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…