Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Ndio mkuu.

Samahani Kwa maana nimeamua kuwa muwazi tumefanya siri muda mrefu ila nimeona leo niweke wazi.
Sorry! Wrong device input detected try again next year!
Shunie, mchango wako unahitajika hapa kabla sija-explode
Please shunie ukija hapa nikane hadharani maana jamaa yako huyu huwa ana pressure.. Asije akaexplode BP ikapanda ikawa mwano.

Please shunie nikane now! [emoji23]
 
Yaani baada ya kuona jina langu kwenye list ya ma HB hapa nilipo natembea kifua mbele Kama nimepigwa ngumi ya mgongo vile na nimetanua mikono kama Nina majipu kwenye makwapa vile, Daamn! I feel so proud and confident mno. [emoji23] [emoji23]

Yaani huyo mshkaji anafanana na Mimi vibaya hadi dimples na light skinned. Mke wa mganga nae mganga tu sijui demiss kabla ya kupost hii alipiga nyanga kidogo then akatuona kwenye CCTV yake? Sijui?

But I'm humbled!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani hiyo picha ya huyo jamaa aliewekwa na demiss ni Mimi kila kitu...nimesema kuanzia skin colour.. Huyu jamaa ni light skinned na Mimi ni light skinned, body size ya huyo jamaa ndio body yangu hivyo hivyo, facial structure ya huyo jamaa ndio Mimi kabisa.

Umeomba picha nimeona nipige mironjo kwanza uone kama kuna correlation ya hayo niloyoyasema hapo juu. Mke wa mganga ametisha sana yaani hiyo picha aliyoweka ndio Mimi kabisa.

Mke wa mjumbe ni mjumbe pia na...mke wa mganga nae ni mganga pia.View attachment 803843
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom