Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Duuuh kama ni hivi, na mm inabid nikutafute aisee, ila usinikimbie tuu
Saivi kuna mganga mmoja ameshaniwekea tunguli kwenye papuchi yangu siwezi tena kugawa umeshachelewa
 
nimeona heading ya uzi tuu nikajua tayari bwana Mshana Jr ameshaibuka kidedea hukoo hamna wa kumpingaa
superspot weee aah kupendwa hukuuu sikienii tuu
 
Saivi kuna mganga mmoja ameshaniwekea tunguli kwenye papuchi yangu siwezi tena kugawa umeshachelewa
Haina shida me hayo matunguli huwa siyaogopi tena maana huwa na dili nayo sana , kwa hiyo siyo kitu kwangu , we nitunuku hiyo papuchi uone hayo matunguli yatakavyotulia kama kuku wa mdondo
 
Back
Top Bottom