Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Povu ruksaaa
povu.png
 
Unafungaje pm? Nataka na Mimi nifunge pm yangu jamani...maana tangu uninadi Mimi ni HB basi pm haipunziki...!

Mara humble unakaa wapi? Mara humble nilikuona kwenye noti ya mia tano?

Nipeni maelekezo nifunge pm Leo hii hii.
Hahahahahha wewe usijali nitakuelekeza Tsap ufunge pm angalia wengine vidumee vina id za kike
 
Back
Top Bottom