Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Kwa sababu nchi hii haiishiwi vituko.

Na hiki kinaingia kwenye orodha ndefu ya vituko nchini Tanzania.
 
Hamna kitu hapo, kwanza akiwaintertain ndio mbaya zaidi system inaweza kudokoa Mmoja Mmoja bila hata kujua, Nchi km nchi ukiona kuna mtu au kikundi cha watu kinachoahatarisha usalama iwe kwa njia yeyote km vile spy, traitor, na mvuja siri za nchi, haitaangalia cha rais wala nini ni nadukuliwa km kifaranga
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Makomandoo wa udongo

Walikuwa wapi wakati Mbowe anapiga mweleka kule Dodoma baada ya kugugumia nyangi?

Walikuwa wapi kuzuia polisi wasimiharass Mbowe?

Ningekuwa na uwezo ningemdelete Mbowe ķwenye uenyekiti wa CHADEMA.

Ashapitwa na wakati,tunahitaji mtu mpya mwenye maono mapya wa kuipeleka CHADEMA mbele.

Makomandoo uchwala wavaa pampasi
 
Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni, ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.

Umejiridhisha kuwa wanachojua ni matumizi ya silaha na kupambana na hali ngumu za msituni tu? Au ni kubwabwaja tu?
 
Ungependelea waweje?Muonekano,mavazi au mikato yao!Mimi nimezoea "askari" wetu wa sungusungu waliopo hapa kijijini kwetu.
 
Umezoea wale wanaovunja tofali kwa kichwa😆😆😆😆

Ukomandoo ni mafunzo maalum. Kama wamepata hayo mafunzo na wamefuzu basi wanabaki kuwa makomando. Hapo afya zao bado hazijarea kuwa kawaida. Subiri baada ya miezi kadhaa na waanze kupiga gym na tiz nyingine afu ndio utaelewa nini namaanisha.

Vp hali ya kiuchumi huko ulipo? Gharama za uendeshaji zimepanda?
 
Back
Top Bottom