Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Haa, mimi hao makomandoo wa Mbowe kwa mikono mikavu, nawapiga wote kwa mkupuo, yaani waje wote 2 kwa pamoja nawapiga na kuwatoa pumzi within minutes, nasema kweli.