kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Unamanisha Kama Wana wa urusi Vita yakitaa hawajui kuzichapa auHata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.
Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.
Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.
Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.