Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Unawazungumzia watu waliokaa mahabusu ziaid ya miezi mitano bila msosi wa kueleweka? Ama kweli nyani ngabu huyu
 
Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
Eti magandwa kama wauza mkaa. Humu ndani watu wanavituko sana. Cheka balaa
 
Unawazungumzia watu waliokaa mahabusu ziaid ya mitano bila msosi wa kueleweka? Ama kweli nyani ngabu huyu
Mkuu chura inakuwaje mtu wangu bado huko mafia unavua ngudu au usharudi kwenye kiti chako cha kuzungunga kwa mbele juu kuna picha ya mama?
 
Tusitumie Anold Schwarzenegger na komando kuwa kipimo cha makomandoo wote duniani.
Kwani Anord amekuwa komando lini ...au muvi ya commando John jeniii ndio wamempa na cheo Cha ukomando
 
Mkuu chura inakuwaje mtu wangu bado huko mafia unavua ngudu au usharudi kwenye kiti chako cha kuzungunga kwa mbele juu kuna picha ya mama?
Aisee mmeshikilia sana hapo🤣🤣🤣🤣
 
Rahaa ya mziki uucheze. Mpike hata kofi moja alafu uje na marejesho kuliko kuongelea swala la nadharia wakati dunia ya leo ni vitendo
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Ukomandoo ni nini??Watanzania wangapi wamefikia uzito huo??
 
Back
Top Bottom