econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Makomandoo wa udongo
Walikuwa wapi wakati Mbowe anapiga mweleka kule Dodoma baada ya kugugumia nyangi?
Walikuwa wapi kuzuia polisi wasimiharass Mbowe?
Ningekuwa na uwezo ningemdelete Mbowe ķwenye uenyekiti wa CHADEMA.
Ashapitwa na wakati,tunahitaji mtu mpya mwenye maono mapya wa kuipeleka CHADEMA mbele.
Makomandoo uchwala wavaa pampasi
Acha kutukana vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Unataka kusema Tanzania hamna Makomandoo?. Kama unavaaa pampas usifikiri kila mtu anavaa pampas. Punguza kujiona wa maana wakati na wewe ni udongo kesho tu tutakuzika.
Wewe upo CCM lakini unasumbuliwa na uenyekiti wa Mbowe chadema. Concentrate na Mambo ya CCM ya chadema hayakuhusu.