Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Makomandoo wa udongo

Walikuwa wapi wakati Mbowe anapiga mweleka kule Dodoma baada ya kugugumia nyangi?

Walikuwa wapi kuzuia polisi wasimiharass Mbowe?

Ningekuwa na uwezo ningemdelete Mbowe ķwenye uenyekiti wa CHADEMA.

Ashapitwa na wakati,tunahitaji mtu mpya mwenye maono mapya wa kuipeleka CHADEMA mbele.

Makomandoo uchwala wavaa pampasi

Acha kutukana vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Unataka kusema Tanzania hamna Makomandoo?. Kama unavaaa pampas usifikiri kila mtu anavaa pampas. Punguza kujiona wa maana wakati na wewe ni udongo kesho tu tutakuzika.

Wewe upo CCM lakini unasumbuliwa na uenyekiti wa Mbowe chadema. Concentrate na Mambo ya CCM ya chadema hayakuhusu.
 
Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.

Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.

Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni(survival skills) ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.

Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
Sorry modern day sf personel wana mafunzo both urban warfare na msituni.
Na hawa jamaa wana mitihani yao kabisa.. ukifel you are out.

VIP protection ni kozi separate kabisa Ila si kwamba hawajui chochote.

Unless umehudhuri hayo mafunzo then you can judge. Ila kama hujafika huko better usiongee maana hujui wanachofundishwa huko ni nn.
 
Mafunzo ya ukomandoo Tanzania nayajua in and out mama angu. Nimeandika kitu nachokijua mtoto mzuri.
Ehe kijana. Mwalimu wa mafunzo ya ukomandoo. Umehudhuria kozi ngapi? Cheo kikubwa kabisa kwenye hiyo unit ni kipi?
Mtaala wao ukoje? First phase inafanyika wapi? Initial passing standards zikoje?

Kwako mwalimu
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!


Jichanganye, kwahiyo china hawatakiwi kuwa na makomando sababu wanamiili midogo?
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!


Ukomandoo ni training za medani za kivita,sio kubeba mawe,au kuzibua mitaro ya maji machafu,au kuendesha guta,hao jamaa wameshiriki mapigsno,combat,special operation mission,we ingia kichwa kichwa utajikuta,makende huna
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Hawa ndo Kaka yako Mwendakulima alitaka wapotee kabisa?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kuna kpmandoo hapo labda K*UMANDOO ya serikali ione tu makomandoo waliofukuzwa au kuacha kazi jwtz?

Hizo ni cartoon za mbowe na serikali inayomlea kwa kazi maalum,mbowe yuko kazini kama kawaida WAJINGA ndiyo watashabikia kile anachofanya kwa kutokujua ila mwenye akili hana muda mchafu kumtukuza mbowe kibaraka wa ccm
Komenti yako ina maana,hata mimi naamini ni usanii tu.
 
Ulitaka wawe na afya gani? Wakati wamekaa gerezani zaidi ya mwaka mmoja na nusu na chakula walikuwa hawapewi ipasavyo

Kweli wewe ni zee lipumbavu
 
Ukomandoo ni training za medani za kivita,sio kubeba mawe,au kuzibua mitaro ya maji machafu,au kuendesha guta,hao jamaa wameshiriki mapigsno,combat,special operation mission,we ingia kichwa kichwa utajikuta,makende huna
Sasa kwa nini wale makomandoo huwa wanavunja tofali pale uwanja wa taifa?
 
Ila jamaa wanahitaji chakula

Ndio maana huko huwa wanapewa fedha za aina hiyo (ration).
 
Huyu jamaa anaongelea makomando wa kwenye movie za kimarekani akina RAMBO NA ANOLD,komando ni special force wala siyo big body,nyama zpo mpak kwenye sambusa pia komando mwili wake ni silaha...
Umeshaanza nongwa zako!!

Uzito ni ukomandoo wa kizamani.

Ukomandoo wa kileo uko ndani ya kichwa zaidi.

Ndio maana pale kwa Pontio pilato akina Swilla walipewa za uso.
 
... mahakama tukufu imethibitishiwa officially wahusika ni makomandoo waliopikwa wakaiva; mkufunzi wao kathibitisha hayo mbele ya mahakama tukufu. Imethibitishwa wameshiriki mission kali hadi nje ya nchi mara kadhaa na zikaenda successfully; halafu anatokea mlevi mmoja kajiharishia anadai "hakuna komandoo hapo".
Kuna watu wakiwa nyuma ya keyboard ni watu wanajua Kila kitu .. wakati mwingine ni kuwaacha tu ..
 
Back
Top Bottom