Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Na wewe ni komandoo?Umeshaanza nongwa zako!!
Endelea kuwa underestimate ,kaa nao mbali kabsaI mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Kawaguse uone moto wao.I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Wamekaa gerezani muda wote huo na mazoezi walikuwa hawafanyi. Wape muda.I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Hakuna wa kunitisha hapo.Endelea kuwa underestimate ,kaa nao mbali kabsa
Kwa sababu nchi hii haiishiwi vituko.I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Makomandoo wa udongoI mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
tunajikuta tunafuga majambazi bila kujuaHivi vikundi vikundi vikizidi ujasiri ipo siku vitaleta shida kwenye hii nchi. Fikiria machifu nao kwa promo ya sasa hivi wakawa na vikundi vyao nao
Hata kazi yenyewe wanafanya kienyeji sana.
Kama mbowe anataka walinzi kweli wenye hadhi ya VIP protection awapeleke shule nje y nchi na pia wavae professional sio magwanda kama wauza mkaa.
Makomando hao wanachojua ni matumizi ya siraha na kupambana na hali ngumu msituni, ndio mafunzo wanayopata pale 92KJ Ngerengere. Hakuna zaidi ya hapo.
Ukomandoo wao ungekua na faida kama wanapigana msitumi ila sasa threat wanayokutana nayo sio ya msituni na hawana hayo mafunzo.
Na wewe ni komandoo?
Mafunzo ya ukomandoo Tanzania nayajua in and out mama angu. Nimeandika kitu nachokijua mtoto mzuri.Umejiridhisha kuwa wanachojua ni matumizi ya silaha na kupambana na hali ngumu za msituni tu? Au ni kubwa bwabwaja tu?