Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
SureHii list wakati inatoka wangekuja kumtazama , mke wangu kwanza zamani nlisikia hadithi kwamba mwanamke wa kwanza kwa uzuri alikuwa cleopatra yule kiongozi wa Misri bahati mbaya waandishi wa Historia hizo hawakumshuhudia mke wangu.
Tukirudi kwenye List hamna uzuri wowote zaidi ya Umaarufu walionao , zaidi zaidi ni MakeUp na Plastic surgery tu ambazo kinyume na kuongeza Uzuri hutia dosari kwenye Urembo
We prefer ladies wid their natural state
Kwakweli hata top 10 ya mtaani kwetu hawaingiiIla hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
Mungu wangu,Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Sijui nimerogwa, hawa wa Kagame huwa hawajawahi kunipa mizuka kabisa
Kabisa ndugu mjumbeKama hawana tako ni kazi bure! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Tatizo wana makomwe sugu makubwa sanaSijui nimerogwa, hawa wa Kagame huwa hawajawahi kunipa mizuka kabisa
Naomba nikuone nikuweke kwenye listUmeona eee kuna pisi kali za kiafrica unabaki unashangaa
Simuoni mzuri kukuzidi ww..Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Nakitizama mwandiko wako JF inazihirisha ww ni pisi kali.Umeshaniona mkuu? ๐
Au tulipie huduma ya kumuona mrembo?๐๐ ๐