Unasema kweli?Kilichonifurahisha kwenye huu uzi ni comments za hivi; “ hawajamuona mke wangu, kama mke wangu hayupo uzi ni batili” yaani it’s so manly when a man flaunts about his wife.
Nikiwakilisha kina mama manka wooote duniani naombeni leo mkienda majumbani muwaoneshe hizo comments zenu. Hakika hamtonyimwa😂😂😂
Wanaume wanapenda wake zao sema tuu shetani huwa anawapitia chapuuuKilichonifurahisha kwenye huu uzi ni comments za hivi; “ hawajamuona mke wangu, kama mke wangu hayupo uzi ni batili” yaani it’s so manly when a man flaunts about his wife.
Nikiwakilisha kina mama manka wooote duniani naombeni leo mkienda majumbani muwaoneshe hizo comments zenu. Hakika hamtonyimwa😂😂😂
Ila hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Kwakweli namba 10 majaji walifumba machoHuyo namba 10 jamani
Uzuri upo kwenye macho ya anayeangalia.Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073
Kwa hili nakuunga mkonoUmeona eee kuna pisi kali za kiafrica unabaki unashangaa
Unanichokoza sio na kumtania mama manka wangu sio?Kilichonifurahisha kwenye huu uzi ni comments za hivi; “ hawajamuona mke wangu, kama mke wangu hayupo uzi ni batili” yaani it’s so manly when a man flaunts about his wife.
Nikiwakilisha kina mama manka wooote duniani naombeni leo mkienda majumbani muwaoneshe hizo comments zenu. Hakika hamtonyimwa😂😂😂
Haupo Mwalimu To yeyeAisee
😀😀Nitaharibu Uzi wa watu,ila tutaonana tu kule kuleKwa lipi huniungii?? Hahahah