Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Na miti huliwa na mchwa ilhali rasilimali za nchi huliwa na mchwaChuma huliwa na kutu, nchi huliwa na wanasiasa...
Na miti huliwa na mchwa ilhali rasilimali za nchi huliwa na mchwaChuma huliwa na kutu, nchi huliwa na wanasiasa...
Wa babayoUna umri gani?
Kama serikali haikuletei pesa kwanini wewe una hofu ya Samia kuondoka madarakani? Kwanini wewe unajinasibu kua mama kafungua nchi mnapiga madili wewe na machizi wenzako? Kama serikali haikueletei pesa basi tuliza nyama maana hata akiondoka itakayokuja serikali nyingine haitaleta pesa tena. Otherwise you are just as your name indicatesNyie hamjitumi mnategemea serikali ndo iwapatie pesa? Fanyeni acheni uvivu.
Kama serikali haikuletei pesa kwanini wewe una hofu ya Samia kuondoka madarakani? Kwanini wewe unajinasibu kua mama kafungua nchi mnapiga madili wewe na machizi wenzako? Kama serikali haikueletei pesa basi tuliza nyama maana hata akiondoka itakayokuja serikali nyingine haitaleta pesa tena. Otherwise you are just as your name indicates
Nakazia.Awamu hii ******* na mashoga wameneemeka sana maana ni awamu ya shetani kutawala.
Mdogo wangu mimi nina maisha kuliko familia yenu combined. Ila nyeusi nitaiita nyeusi na nyeupe nitaiita nyeupe. Wewe ndio unaeonyesha hufanyi kazi kwa kutegemea intelligence yako rather kutegemea incompetence ya huyu aliyeko madarakani. Majority wanaokupinga humu hawaongelei maslahi binafsi bali maslahi ya nchi. Ukikua haya ninayokwambia leo utayakumbuka kama wosia.Angalia fursa fanyia kazi mwacheni rais afanye kazi yupo fresh mshindwe nyie tu
Tafuta kazi dogo ungekuwa na kazi busy usingekuwa hata na huu muda wa kulaumu serikaliMdogo wangu mimi nina maisha kuliko familia yenu combined. Ila nyeusi nitaiita nyeusi na nyeupe nitaiita nyeupe. Wewe ndio unaeonyesha hufanyi kazi kwa kutegemea intelligence yako rather kutegemea incompetence ya huyu aliyeko madarakani. Majority wanaokupinga humu hawaongelei maslahi binafsi bali maslahi ya nchi. Ukikua haya ninayokwambia leo utayakumbuka kama wosia.
Sawa nitatafuta kazi. Ushauri kwako na wewe ukatafute akili. Good day mkubwaTafuta kazi dogo ungekuwa na kazi busy usingekuwa hata na huu muda wa kulaumu serikali
Hapo ulipo Godoro unalolilalia linanuka uvundo na limejaa kunguni kibao mpaka aibuMama amefungua milango na madirisha ninyi tu hamwoni nafasi za kupigia pesa mnazubaa mpaka aje awashike mikono? Ubwege huo. Kwa sasa sisi hatugusi salary. Mimi huwa mwisho wa mwezi natoa pesa account ya salary nahamishia nyingine. Msije sema situmii salary siku zijazo.