GE2025 Hawa ndo watu ambao hawamkubali Samia. Sisi wengine Mungu atupe nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie hamjitumi mnategemea serikali ndo iwapatie pesa? Fanyeni acheni uvivu.
Kama serikali haikuletei pesa kwanini wewe una hofu ya Samia kuondoka madarakani? Kwanini wewe unajinasibu kua mama kafungua nchi mnapiga madili wewe na machizi wenzako? Kama serikali haikueletei pesa basi tuliza nyama maana hata akiondoka itakayokuja serikali nyingine haitaleta pesa tena. Otherwise you are just as your name indicates
 

Angalia fursa fanyia kazi mwacheni rais afanye kazi yupo fresh mshindwe nyie tu
 
Angalia fursa fanyia kazi mwacheni rais afanye kazi yupo fresh mshindwe nyie tu
Mdogo wangu mimi nina maisha kuliko familia yenu combined. Ila nyeusi nitaiita nyeusi na nyeupe nitaiita nyeupe. Wewe ndio unaeonyesha hufanyi kazi kwa kutegemea intelligence yako rather kutegemea incompetence ya huyu aliyeko madarakani. Majority wanaokupinga humu hawaongelei maslahi binafsi bali maslahi ya nchi. Ukikua haya ninayokwambia leo utayakumbuka kama wosia.
 
Tafuta kazi dogo ungekuwa na kazi busy usingekuwa hata na huu muda wa kulaumu serikali
 
Piga pesa mkuu, hata sisi tukiwa wadogo mzee akitoka bi mkubwa tulikua tunampiga matukio
 
Hapo ulipo Godoro unalolilalia linanuka uvundo na limejaa kunguni kibao mpaka aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…