MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Pole. Mungu akutangulie4 jamani mniombee sana
Mkuu una maana gani kuanzisha mada nzito na yenye akili kisha ukaweka mizaha inayoweza kuharibu mada nzma?Kimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu aliyeachwa ghafla kwenye mapenzi bila hiari yake.
5. Kiongozi wa umma aliyetumbuliwa na kujikuta mikononi mwa TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi.
6. Mtu anayetafutwa na polisi au vyombo vingine vya dola.
7. Mtu anayetuhumiwa kwa ubakaji au kumpa mimba mwanafunzi.
8. Mfuasi wa Mbowe.
9. Mtu mwenye mshahara usiofika tarehe 10.
10. Mtu yeyote mwenye mkopo wenye riba.
Pole sana. Tukuombee akurudie au tukuombee uweze kumsahau?4 jamani mniombee sana
Namba 4 itoe weka mashabiki wa Man UKimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu aliyeachwa ghafla kwenye mapenzi bila hiari yake.
5. Kiongozi wa umma aliyetumbuliwa na kujikuta mikononi mwa TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi.
6. Mtu anayetafutwa na polisi au vyombo vingine vya dola.
7. Mtu anayetuhumiwa kwa ubakaji au kumpa mimba mwanafunzi.
8. Mfuasi wa Mbowe.
9. Mtu mwenye mshahara usiofika tarehe 10.
10. Mtu yeyote mwenye mkopo wenye riba.
π€£π€£π€£4 jamani mniombee sana
Yatapita tu akuna matatzo yanayo dumu mileleNamba 4 itoe weka mashabiki wa Man U
anirudie mbiooooPole sana. Tukuombee akurudie au tukuombee uweze kumsahau?
Tunaongelea stress sio hatari. Elewa madaMTU ambaye yupo katika hatari ni yule ambaye yupo hosptali anapambania Afya yake na hajui atapona lini .
Ficha upuuzi wako.Mbowe ni mtoto wa mwanamke mwenzako alikufanya nini kibaya hadi umtafutie na maadui wengine?Na umeeleza tuwaombee.Tuwaombee nini?
-msamaha?
-huruma?
-hela?
-maji ya kunywa?π€π€
Wewe pia unatakiwa kuombewa.Mkuu una maana gani kuanzisha mada nzito na yenye akili kisha ukaweka mizaha inayoweza kuharibu mada nzma?
Kuweka udini ama usiasa katika mada zenye maana ni kudiscredit thread yako.
Nilikuwa ninenywea sana ulivyoanza kuporomosha makombora yako, kwa sababu yamenigusa nikiombea kwa mbele usifike huko, nikawa nimejishika kifua kwa hofu.
Lakini nilipoifikia #8, nikajua kumbe tupo kwenye fikshen, nikazindukana na kurudi katika hali yangu ya kawaida, hofu yote kutoa.
Wa kwako huwa unatembea nao usoni kwa madaha.Ficha upuuzi wako.
Nd'onikasema nilipoanza kuisoma madavyako iliniteka kihisia nikaumia nikikumbuka nilivyosaga manoti kipumbaf pumbaf.Wewe pia unatakiwa kuombewa.
πππ8. Mfuasi wa Mbowe.