Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mwanasisiemu ambae hapendi chama ila anajikomba kwa mama ili apate uteuzi ni miongoni mwa wenye stress sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wa ccmKimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu aliyeachwa ghafla kwenye mapenzi bila hiari yake.
5. Kiongozi wa umma aliyetumbuliwa na kujikuta mikononi mwa TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi.
6. Mtu anayetafutwa na polisi au vyombo vingine vya dola.
7. Mtu anayetuhumiwa kwa ubakaji au kumpa mimba mwanafunzi.
8. Mfuasi wa Mbowe.
9. Mtu mwenye mshahara usiofika tarehe 10.
10. Mtu yeyote mwenye mkopo wenye riba.
Peter MsiligwaMwanasisiemu ambae hapendi chama ila anajikomba kwa mama ili apate uteuzi ni miongoni mwa wenye stress sana
11. Wafuasi wa makanisa ya kiroho kama kina mwamposa na wengine.Kimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu aliyeachwa ghafla kwenye mapenzi bila hiari yake.
5. Kiongozi wa umma aliyetumbuliwa na kujikuta mikononi mwa TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi.
6. Mtu anayetafutwa na polisi au vyombo vingine vya dola.
7. Mtu anayetuhumiwa kwa ubakaji au kumpa mimba mwanafunzi.
8. Mfuasi wa Mbowe.
9. Mtu mwenye mshahara usiofika tarehe 10.
10. Mtu yeyote mwenye mkopo wenye riba.
Sahihi Kbsa mkuuMTU ambaye yupo katika hatari ni yule ambaye yupo hosptali anapambania Afya yake na hajui atapona lini .
Msigwa ni mtu anahitaji msaada wa matibabu ya akili bas tu sisi tunamtazama kisiasaPeter Msiligwa
Labda akurudie ili umuache wewe,.anirudie mbioooo
umewaza mbali,,ila ni ukwelLabda akurudie ili umuache wewe,.
Sie wenye vibamia na hatujui kutombering aisee tuna stress kinomaa. Hujakaa sawa lazima usikie wanawake wakikandia wanaume wenye vibamiaKimsingi wamevurugwa.