2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop asee sijawahi show kama zake Tanzania.
Bongo nani mkali? Na ukali wake tunaujuaje? Una mix ya mkali huyo?.
Hongereni sana wakenya.