Mkuu unawajua hawa jamaa [emoji116]
DJ KALONJE, DJ FESTA, DJ JOE MFALME, DJ KANJI, DJ TEEBOY, DJ BASH sidhani kama kuna DJ mkenya ambae hawajui hawa na wengine wamepita kwenye mikono yao. Skiza mixes zao utajione utofauti na hawa DJs wa sasaivi.
Ngoja nikuibie siri, hao wote uliowataja wanatumia program moja hivi inaitwa SONY ACID (kwa audio mixes) & SONY VEGAS (kwa video mixes) hii program hata ww unaweza jifunza ukajua kuitumia na ukitwa DJ mkali [emoji23][emoji23] yaani yenyewe unaipa playlist na ku sync, unaedit pitches za scratches basi umemaliza. Hizo program ni kwa ajili ya ma producers kuedit miziki na kuundia beats pia DJs tunatumia kuundia EXTENDED/Intro/Outro Edits ila wahuni wamezigeuzia matumia asaiv naona wamehamia kwenye FL STUDIO nayo inagonga DJ Mixes kama kawa ukijua kuitumia na uwe unaujua muziki kweli.
Hao wachukue wape DJ CONTROLLERS, CDJ au TURNTABLES waambie warudie kupiga hizo mixes live kwenye mashine na scratches hizo unazozisikia kwenye mixes zao utajionea maajabu mpaka utashangaa. Mimi binafsi nilijifunza hiyo program ila niliona inaenda kunilemaza na nitashindwa kujikomaza kutumia mashine nikaamua kuitema na kubase kwenye mashine. Make unapata kazi huwezi itumia kwenye interview wanakupa mashine upige live mix waone skills zako mikononi sio skills za kuedit na SONY ACID/VEGAS au FL STUDIO.