Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
DJ Kalonje ndio mkali wao hao woteKwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop asee sijawahi show kama zake Tanzania.
Bongo nani mkali? Na ukali wake tunaujuaje? Una mix ya mkali huyo?.
Hongereni sana wakenya.
Kuna jammaa huwa naenda kwake kutengeneza mihuri. Kila nikienda nakula ngoma kali zinagongwa mfululizo. Jamaa kumuuliza ndio akanitajia huyo dj shinski. Anajua sana huyo jaammaa.Sikiliza mix za DJ shinski hutojutia..... ana taste nzuri na mix zake hazina zile kelele za yoyoyo dj blah blah. Nna playslist special ya dj shinski zaidi ya mix 20+
AsanteHii group lake telegram
Kuna moja hivi inaitwa "chill afrobeat" kuna ngoma za naija tamu sana za kupoaView attachment 1977319
Mjamaa ametisha sana humu
Mnyama mkali... mimi nlikua tu natafuta mixtapes you tube nkafuma reggae mix yake moja hivi romantic, aisee nkaanza kupakua mdogo mdogo. Kila nikipakua fire. Aisee nikajikuta nimekua mleviKuna jammaa huwa naenda kwake kutengeneza mihuri. Kila nikienda nakula ngoma kali zinagongwa mfululizo. Jamaa kumuuliza ndio akanitajia huyo dj shinski. Anajua sana huyo jaammaa.
Mkuu huna tofauti na mimi, nimejikuta napenda rege, raga riddims sababu ya hawa jamaaMnyama mkali... mimi nlikua tu natafuta mixtapes you tube nkafuma reggae mix yake moja hivi romantic, aisee nkaanza kupakua mdogo mdogo. Kila nikipakua fire. Aisee nikajikuta nimekua mlevi
Mkuu unawajua hawa jamaa [emoji116]Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop asee sijawahi show kama zake Tanzania.
Bongo nani mkali? Na ukali wake tunaujuaje? Una mix ya mkali huyo?.
Hongereni sana wakenya.
Na. 3 nina kazi zake nyingi.... jamaa ni mkareeeee, from old skul to new skul, jamaa ni full talented za zaid pale anapoifanyia kazi talent yake!Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop asee sijawahi show kama zake Tanzania.
Bongo nani mkali? Na ukali wake tunaujuaje? Una mix ya mkali huyo?.
Hongereni sana wakenya.
Yule jamaa ni hatari. Huwa anapiga live mixes mara nyingi mixes za acid chache sana mwake.DJ Kalonje ndio mkali wao hao wote
Jamaa ni International DJ yule ni hatari. [emoji91]Na. 3 nina kazi zake nyingi.... jamaa ni mkareeeee, from old skul to new skul, jamaa ni full talented za zaid pale anapoifanyia kazi talent yake!
๐๐๐๐Bora umetuibia hayo maujanja bossMkuu unawajua hawa jamaa [emoji116]
DJ KALONJE, DJ FESTA, DJ JOE MFALME, DJ KANJI, DJ TEEBOY, DJ BASH sidhani kama kuna DJ mkenya ambae hawajui hawa na wengine wamepita kwenye mikono yao. Skiza mixes zao utajione utofauti na hawa DJs wa sasaivi.
Ngoja nikuibie siri, hao wote uliowataja wanatumia program moja hivi inaitwa SONY ACID (kwa audio mixes) & SONY VEGAS (kwa video mixes) hii program hata ww unaweza jifunza ukajua kuitumia na ukitwa DJ mkali [emoji23][emoji23] yaani yenyewe unaipa playlist na ku sync, unaedit pitches za scratches basi umemaliza. Hizo program ni kwa ajili ya ma producers kuedit miziki na kuundia beats pia DJs tunatumia kuundia EXTENDED/Intro/Outro Edits ila wahuni wamezigeuzia matumia asaiv naona wamehamia kwenye FL STUDIO nayo inagonga DJ Mixes kama kawa ukijua kuitumia na uwe unaujua muziki kweli.
Hao wachukue wape DJ CONTROLLERS, CDJ au TURNTABLES waambie warudie kupiga hizo mixes live kwenye mashine na scratches hizo unazozisikia kwenye mixes zao utajionea maajabu mpaka utashangaa. Mimi binafsi nilijifunza hiyo program ila niliona inaenda kunilemaza na nitashindwa kujikomaza kutumia mashine nikaamua kuitema na kubase kwenye mashine. Make unapata kazi huwezi itumia kwenye interview wanakupa mashine upige live mix waone skills zako mikononi sio skills za kuedit na SONY ACID/VEGAS au FL STUDIO.
Kuna siku nilipata kazi redioni nikakuta wana mashine mpya na MacBook Pro niliaibika tu kwenye interview! Nilikuta kuna vitu vingi kwenye mashine kwangu ni kama vigeni kabisa pia nlkua sijawahi kutumi MacBook yaani nilijua nayo ni simple kama windows PC nilizozoea kutumia ilinichenga make nilijua ntakuta ka controller kadogo tu ka kawaida nlkowahi kujifunzia.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Bora umetuibia hayo maujanja boss